SERIKALI YA TANZANIA YATOA TATHMINI YA JITAHADA YA KUTOMEZA MALARIA

Tanzania imepiga hatua katika kupunguza ugonjwa wa Malaria licha ya baadhi ya mikoa kuwa na maambukizi ya juu ya ugonjwa huo na mikoa ya Arusha,Manyara, Njombe, Kilimanjaro na Iringa kuwa na maambukizi chini ya asilimia moja na mikoa mingine kuwa na maambukizi ya kati.Hayo yameelezwa leo na Mkurugenzi wa Idara ya Kinga kutoka Wizara ya